KALENDA
Ukitaka kutengenezewa kalenda mbalimbali nyingine ambazio zina jina lako au picha hata ya familia yako au wewe mwenyewe, kuna vipeperushi mbalimbali wala usiogope hapa glorius ndipo kwenyewe. Usiogope karibu sana hapa kwetu kwa huduma ambazo ni makini na ni bora na niza uhakika kabisa. Karibu sana tunapenda na kuwajali sana wateja wetu,mteja kwetu sisi ni mfalme. Pata kalenda yako kwa bei nafuu sana bila hata kuchelewa kabisa.
No comments:
Post a Comment