Saturday, June 25, 2016

T-SHIRT PRINTING

Zipo Design mbalimbali hizi ni Baadhi ya Sampuli tu lakini waweza Jipatia karibu sana Glorious Creative utapata sampuli itakayo kufaa kwa matumizi yako.

MATANGAZO MBALIMBALI




































































Tunatengeneza mabango ya mikutano mbalimbali pamoja na matangazo kwa bei nafuu sana karibu sana Glorious huweze kupata hizi huduma mbalimbali bila wasiwasi. Usiogope huduma zote hizi zinapatikana hapa kwa bei nafuu sana Come one come all.

KALENDA

Ukitaka kutengenezewa kalenda mbalimbali nyingine ambazio zina jina lako au picha hata ya familia yako au wewe mwenyewe, kuna vipeperushi mbalimbali wala usiogope hapa glorius ndipo kwenyewe. Usiogope karibu sana hapa kwetu kwa huduma ambazo ni makini na ni bora na niza uhakika kabisa. Karibu sana tunapenda na kuwajali sana wateja wetu,mteja kwetu sisi ni mfalme. Pata kalenda yako kwa bei nafuu sana bila hata kuchelewa kabisa.

BUSINESS KADI



















Karibu Glorious utapata huduma ya Kutengenezewa business card kwa bei nafuu kabisa.Tunazo sample mbalimbali za business kadi na zote zinapatikana hapa kwa hiyo hakuna kusita. tunajali sana muda zaidi hata ya pesa kwa hiyo usisite kuja.

Friday, June 24, 2016

VIPEPERUSHI

Karibu hapa utapata huduma mbalimbali Bei ni maelewano. Njoo hupate huduma mbalimbali. Tunaweza pia tukawasiliana kwa njia ya mtandao tukaona namna ya kuweza kufanya karibu sana Hupate huduma nzuri na kwa bei nafuu sana.usikubali kukosa.

BUSINESS KADI






















Tunatoa huduma ya kutengeneza Business Card,Bronchus, Magazine, Vipeperushi Mbalimbali, Matangazo mbalimbali ya Biashara na Kadi mbalimbali za Harusi. Karibu sana Glorious Creative Company.